Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Homera amsimamisha kazi Mtunza hazina (+video)

Video Archive
Sat, 12 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba wa halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh. milioni 400.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba wa halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh. milioni 400. “Watendaji hawa wanapaswa kusimamishwa kazi na kukaa mahabusu hadi pale watakapolipa fedha wanazodaiwa ambazo pia zimetajwa kuwa chanzo cha halmashauri hii kupata hati isiyoridhisha,” Homera.

Chanzo: millardayo.com