Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Gambo katangaza kuwasimamisha kazi na kutoa barua ya onyo

2125 Gambo 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameagiza kuwasimamisha kazi Afisa Mifugo wa Wilaya ya Karatu, Mtendaji wa kijiji pamoja na Afisa Mifugo wa kijiji na ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Karatu kuandikiwa barua ya onyo kwa madai ya kufanya uzembe katika zoezi la kupiga chapa mifugo.



“Macho yako ni balaah, shingo yako sijawahi kuona”

Chanzo: millardayo.com