Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Dar aahidi kuwaweka ndani Wakandarasi ujenzi wa Mwendokasi

Thumb 2676 800x420 0 0 Auto RC Dar aahidi kuwaweka ndani Wakandarasi ujenzi wa Mwendokasi

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amechukizwa na wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya mwendokasi ya Gongo la mboto.

RC Chalamila ametoa kauli hiyo mapema leo April 18 2024 alipokuwa kwenye ziara yake ambapo amesema hajaridhishwa na utendaji wa kazi wa mradi huo.

"Nataka mfanye kazi ambayo mmepewa dhamana na Serkali kwa ajili ya kuwapunguzia kero Wananchi, mkiendelea na uzembe huu ninaouona nitawaweka ndani"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live