Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Andengenye awasha moto "mbao zinapinda unaokota mafundi unawachekea"

Video Archive
Thu, 13 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna wa Polisi Thobias Andegenye ameonyesha kutorizishwa na ubora wa ujenzi wa soko la Mpakani mwa Burundi na Tanzania Mkalazi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma na kuagiza Halmashauri kusimamia ujenzi vizuri na kwa ubora.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna wa Polisi Thobias Andegenye ameonyesha kutorizishwa na ubora wa ujenzi wa soko la Mpakani mwa Burundi na Tanzania Mkalazi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma na kuagiza Halmashauri kusimamia ujenzi vizuri na kwa ubora. ‘’Tazameni makenchi yalivyokaa kule ndani yani huyo fundi ningemuona nisingempa kazi ningekuwa Mimi, lazima tuhakikishe tunapata mafundi wa kweli na kupata thamani inayolingana na pesa yetu hakuna pesa ya bure hapa hata kama ni ya Mfadhili, naogopa mpaka kuingia’’ RC Andengenye

Chanzo: millardayo.com