Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi yawanasa wavuvi haramu Mwanza

Wavuvi Mikopo Dawa.jpeg Polisi yawanasa wavuvi haramu Mwanza

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu ndani ya Ziwa Victoria ambao kwa sasa wamehifadhiwa kwenye Vituo vya Polisi huku uchunguzi ukiendelea kuhusiana na tuhuma zao.

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu ndani ya Ziwa Victoria ambao kwa sasa wamehifadhiwa kwenye Vituo vya Polisi huku uchunguzi ukiendelea kuhusiana na tuhuma zao. Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Wilbroad Mutafungwa amesema licha ya watuhumiwa hao kukamatwa lakini pia wamefanikiwa kukamata vitu vingine ndani ya ziwa hilo kufuatia opareshi maalumu iliyofanyika kwa kushirikiana na idara ya uvuvi Mkoa wa Mwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live