Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi yatoa taarifa ya awali ajali ya ndege Bukoba

IMG 8118 1140x640 Polisi yatoa taarifa ya awali ajali ya ndege Bukoba

Sun, 6 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Breaking Polisi wametoa taarifa ya awali ya ajali ya Ndege ya Precision Air leo Bukoba mkoani Kagera na kusema Ndege hiyo imeanguka ndani ya umbali unaokadiriwa kuwa mita 100 tu kutoka ulipo Uwanja wa Ndege Bukoba.

“Saa 2:35 leo asubuhi tulipokea taarifa ya ajali ya ndege ya Precion ikitokea Dar es salaam kuja Bukoba ndege ikiwa kama Mita 100 ikapata taharuki kwasababu maeneo yetu hali ya hewa ilikuwa mbaya, mvua ilikuwa inanyesha ikatumbukia kwenye maji”

“Kila kitu kipo under control Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama tunaendelea na uokoaji, naomba Wananchi wawe na subira wakati tunaendelea kuokoa“

Chanzo: www.tanzaniaweb.live