Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi yarushiana risasi na majambazi

Mfalme Wa Nigeria Apigwa Risasi Na Kufa Ndani Ya Kasri Polisi yarushiana risasi na majambazi

Fri, 9 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera limefanikiwa kuzuia tukio la unyang'anyi wa kutumia silaha lililokuwa linapangwa na majambazi watatu waliokuwa wakijaribu kuvamia kituo cha mafuta (petrol station) cha Benaco Oil kilichopo Benako Wilaya ya Ngara mkoani humo.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, William Mwampaghale amesema tukio ilo lilitokea tarehe 7/12/2022 majira ya saa 2:30 usiku katika kijiji cha Rwakalemela kata ya Kasuro wilaya humo.

Majambazi watatu walikuwa wakirushiana risasi na polisi ambapo majambazi wawili walikamatwa, mmoja kati hao alifariki wakati akikimbizwa hospitalini huku jambazi mmoja akifanikiwa kutoroka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live