Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi watatu wafariki ajalini, tisa wajeruhiwa

Polisi watatu wafariki ajalini, tisa wajeruhiwa

Mon, 3 Feb 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Njombe. Polisi watatu wamekufa na wengine tisa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda kugongana na basi na kampuni ya Sharon linalofanya safari zake kati ya Njombe na Arusha.

Akizungumza leo Jumatatu Februari 3, 2020 mganga mfawidhi wa Hospitali ya Kibena-Njombe, Dk Anord Mtega Maganga amethibitisha kupokea miili ya askari polisi hao, kwamba wengine tisa ni majeruhi.

Ajali hiyo imetokea leo alfajiriĀ  eneo la kituo cha Polisi cha Mkoa wa Njombe.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi

Chanzo: mwananchi.co.tz