Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wafafanua tukio la Wamasai kushambulia

Wamasai Unguja Polisi Polisi wafafanua tukio la Wamasai kushambulia

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kaskazini Unguja Kamishna Msaidizi wa Polisi Daniel Shila ameitaka jamii kuacha tabia ya kutumia mitandao ya kijamii kurusha picha zenye kuleta taharuki kwa Wananchi.

Amesema picha ya video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii ikionesha watu jamii ya Wamasai wakiwashambulia walinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi ni tukio la muda mrefu na tayari liliishachukuliwa hatua za kisheria.

View this post on Instagram

A post shared by TBC Digital (@tbc_online)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live