Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi waanza upimaji ulevi kwa madereva

Madereva Ulevi Wapimwa (600 X 316) Polisi waanza upimaji ulevi kwa madereva

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani limeendelea na zoezi la ukaguzi wa magari makubwa ya abiria na kuwapima madereva ulevi huku likiwataka madereva kuzingatia sheria.

Akizungumza baada ya uendeshaji na usimamizi wa zoezi hilo leo Jumanne Novemba 14, 2023, Mkuu wa Oparesheni wa Usalama Barabarani nchini, ACP Nassoro Sisiwayah amesema zoezi hili ni endelevu na litadumu mpka mwaka ujao hii ni kuhakikisha ajali zinatokomezwa,operesheni hiyo lilifanyika katika stendi ya mabasi Moshi.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live