Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi: Acheni tabia ya kuzidisha abiria

Bodaboda .png Polisi: Acheni tabia ya kuzidisha abiria

Mon, 25 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Njombe, Kostebo James jana Jumapili Desemba 24, 2023 alitoa elimu kwa dereva wa pikipiki maarufu bodaboda madhara ya kupakia abiria wengi kwenye chombo cha moto.

Pia, amemtaka dereva kuacha tabia hiyo kwani hatarishi kwa wale ambao amewapakia pindi inapotokea tatizo.

Sambamba na hilo, alimtaka dereva huyo kuendelea kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa kuelimisha wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live