Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha 7:Baada ya agizo la Makamu wa Rais, Waziri Makamba afika Kigoma

WhatsApp Image 2021 10 06 At 11.13.11 AM 660x400.jpeg Picha 7:Baada ya agizo la Makamu wa Rais, Waziri Makamba afika Kigoma

Wed, 6 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Nishati January Makamba Amefika Kigoma baada ya agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango kumuagiza Waziri wa Nishati hadi kufikia October 15, 2021 awe amefika Kigoma ili kutatua kero ya kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara ambayo imedumu Mkoani humo kwa zaidi ya mwezi miwili.

Mpango alitoa maagizo hayo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa Wananchi Juu ya kukatikakatika Umeme Mkoani kigoma September 22 katika ufunguzi wa maonesho ya tatu ya Shirika la Viwanda Vidogo ( SIDO ) 2021 ambayo Kitaifa yalifanyika Wilayani Kasulu Mkoani kigoma.

.



.

.



.



.



.

Chanzo: millardayo.com