Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel amewataka wadau wa Viwanda nchini kuichangamkia sekta ya Ngozi hususani kwa kuipa thamani ikiwemo kutumia wanyama kama Mbwa ambao wapo zaidi ya Mil.3 huku wengi wakiwa wanatoka mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel amewataka wadau wa Viwanda nchini kuichangamkia sekta ya Ngozi hususani kwa kuipa thamani ikiwemo kutumia wanyama kama Mbwa ambao wapo zaidi ya Mil.3 huku wengi wakiwa wanatoka mkoani Iringa. Prof. Ole Gabriel ameyasema hayo leo wakati wa kuzindua mafunzo ya mnyororo wa thamani kwa Wadau wa Ngozi Dar es Salaam.