Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PROF. TIBAIJUKA: “Mimi nastaafu, napumzika nitakuwepo hapa kuendelea na Maendeleo”

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage na Prof. Anna Tibaijuka leo February 15, 2018 walikuwa katika kampeni kumnadi mgombea Udiwani katika Kata ya Buhangaza katika Jimbo la Muleba Kusini

Waziri Mwijage amesema wameamua kupiga kambi katika Kata hiyo kwa ajili ya kumuombea kura mgombea Udiwani kupitia tiketi ya CCM Jenitha Tibihenda mpaka siku ya uchaguzi February 17, 2018.

Nae Prof. Anna Tibaijuka amesema kuwa yeye ikifika 2020 hagombei tena anastaafu lakini hiyo haitamzuia kufanya kazi za maendeleo kwenye eneo lake na kuwaomba wananchi kuzidi kumuunga mkono katika shughuli za maendeleo.

ILIVYOKUWA KESI YA WALIOJIUNGANISHIA BOMBA LA MAFUTA YA DIZELI NYUMBANI

Chanzo: millardayo.com