Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Wamiliki wa baa Mwanza waandamana Ofisi za RC

Maandamano Baa Two PICHA: Wamiliki wa baa Mwanza waandamana Ofisi za RC

Fri, 26 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wamiliki wa Hoteli na baa zaidi ya mia tatu Mwanza waandamana hadi kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakiendelea kupinga faini na sheria za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) huku wakisema hawatafungua hoteli na baa zao hadi waruhusiwe kupiga muziki.





Chanzo: www.tanzaniaweb.live