Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 10:Kutoka kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Dkt Magufuli huko Chato

41235 Pic+mabeyo PICHA 10:Kutoka kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Dkt Magufuli huko Chato

Thu, 25 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Machi 25, 2021 ambapo mwili wa hayati Dkt John Pombe Magufuli unaagwa na Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali huko Chato, sasa hapa nimekusogezea picha 10 ujionee viongozi wanaoingia pamoja na Wananchi.

Endelea kukaa karibu na Ayo TV & millardayo.com tutaendelea kila matukio yanayoendelea Chato muda huu

.



.PICHANI:Kulia Jenerali Venance Mabeyo. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania akitetaka jambo na askari mwenzake katika uwanja wa Magufuli panapofanyika shughuli za kuaga mwili wa hayati Dkt Magufuli.

.Pichani:Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti wakiwa katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa Hayati Dkt Magufuli   Chato



.



.Pichani:Kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt Bashiru akiwa na  Waziri wa Nchi, Kazi, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama.



.J Melody akiwa jukwaani akitoa burudani 



.



.Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ni miongoni mwa viongozi wa Serikali waliofika hapa katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa Hayati Dkt Magufuli Chato



.Baraka Magufuli  ni miongoni mwa wasanii waliofika hapa katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa Hayati Dkt Magufuli Chato
Chanzo: millardayo.com