Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ofisa elimu wilayani Ngara afariki ajalini

54972 Pic+afisa

Wed, 1 May 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Bukoba. Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya Ngara mkoani Kagera,  Fikeni Senzighe amefariki dunia kwenye ajali akitoka kushiriki kikao cha maandalizi ya mitihani ya kidato cha sita.

Akizungumzia kifo hicho leo Jumatano Mei mosi 2019, Ofisa Elimu Mkoa wa Kagera, Aloyce Kamamba amesema ofisa huyo alifariki dunia jana akirejea wilayani Ngara baada ya kikao.

Amesema aliwaita maofisa wote wa elimu ili kuwapa maelekezo ya jumla kuhusu maandalizi ya mtihani wa kidato cha sita na gari kupata ajali akirejea Ngara.

"Ni kweli amefariki dunia jana niliwaita maofisa elimu wote na kuwapa maelekezo ya jumla kuhusu maandalizi ya mitihani ya kidato cha sita, mwili wa marehemu utasafirishwa leo mchana kwenda Kilimanjaro," amesema Kamamba.

Amebainisha kuwa maandalizi ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda mkoani Kilimanjaro yanafanyika na kuwa tukio hilo halitaathiri maandalizi ya mitihani ya kidato cha sita.

ag || {}; googletag.cmd = googletag.cmd || [];

Ofisa elimu wilayani Ngara afariki ajalini

Wednesday May 1 2019

By Phinias Bashaya, Mwananchi [email protected]

Chanzo: mwananchi.co.tz