Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ofisa anayedaiwa kujinyonga mahabusu azikwa

70BE6688 0F72 4119 BA0C 38B9304ED421 660x400.jpeg Ofisa anayedaiwa kujinyonga mahabusu azikwa

Wed, 26 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati mkaguzi msaidizi wa polisi, Grayson Gaitan Mahembe akidaiwa kujinyonga akiwa mahabusu, amezikwa mkoani Iringa jana, huku wazazi wake wakilitaka Jeshi la Polisi kuchunguza kifo chake hicho chenye utata.

Mwili wa Grayson ulizikwa kijijini kwao Iladutwa wilayani Iringa, huku mamia ya waombolezaji wakishiriki msiba huo.

baba mzazi wa marehemu, Gaitan Mahembe alisema wiki mbili zilizopita alisikia sakata hilo kuwa marehemu alitumwa kwenda kukamata mhalifu sehemu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live