Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ofisa Ustawi wa Jamii atupwa jela kwa ubakaji

Rape ED Ofisa Ustawi wa Jamii atupwa jela kwa ubakaji

Mon, 20 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa Ustawi wa Jamii kutoka Halmashauri ya Kigoma, Frenk Mabuga amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji.

Ofisa Ustawi wa Jamii kutoka Halmashauri ya Kigoma, Frenk Mabuga amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi amesema mahakama hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasi na shaka kwamba Mshitakiwa alitenda kosa hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live