Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyuki washambulia mtaa, Wananchi wakimbizwa Hospitali

BEE KEEPING.png Nyuki washambulia mtaa, Wananchi wakimbizwa Hospitali

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu saba wamelazwa katika Hospitali ya Mji Handeni, baada ya kushambuliwa na nyuki katika mitaa ya Azimio na Kivesa iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga, huku mifugo ikiwemo kuku na bata ikiripotiwa kufa kutokana na kushambuliwa na nyuki hao.

Watu saba wamelazwa katika Hospitali ya Mji Handeni, baada ya kushambuliwa na nyuki katika mitaa ya Azimio na Kivesa iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga, huku mifugo ikiwemo kuku na bata ikiripotiwa kufa kutokana na kushambuliwa na nyuki hao. Wakizungumza na chombo kimoja cha habari, baadhi ya majeruhi hao, ambao ni wanufaika wa TASAF wamesema, walishambuliwa na nyuki hao wakati wakisafisha barabara katika mradi wa mfuko huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live