Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Noah yakamatwa na magunia 10 ya Bangi

Noah Bangi.jpeg Noah yakamatwa na magunia 10 ya Bangi

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu limekamata gari ndogo aina ya Noah ikiwa inasafirisha magunia 10 ya bangi.

Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu limekamata gari ndogo aina ya Noah ikiwa inasafirisha magunia 10 ya bangi. Gari hiyo imekamatwa katika Kijiji cha Chamgata, Kata ya Kalemela wilaya ya Busega mkoani Simiyu na kwamba dereva wa gari hilo alilitelekeza pembezoni mwa barabara ya Mwanza - Musoma na kutokomea kusikojulikana na jitihada za kumtafuta zinaendelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live