Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nguvu imenivuta ndani ya maji, wawili wafariki, walikuwa wanapiga picha

29beb42e 90a2 4e99 8e17 3eda5ed3d3ed 660x400.jpeg Nguvu imenivuta ndani ya maji, wawili wafariki, walikuwa wanapiga picha

Thu, 21 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Miili ya watu wawili waliokufa maji kwenye maporomoko ya maji ya Tururu yaliyoko Wilayani Babati mkoani Manyara imeopolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoji.

Miili ya watu wawili waliokufa maji kwenye maporomoko ya maji ya Tururu yaliyoko Wilayani Babati mkoani Manyara imeopolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoji. Akizungumza mara baada ya zoezi la uopaji wa miili hiyo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoani Manyara, Julishaeli Mfinanga amewataja waliokufa maji kuwa ni Josephy Isdori mwenye umri wa miaka 21 na Abubakari Hamisi miaka 19.

Chanzo: millardayo.com