Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Na wewe badilika uwe mkali" Rais Magufuli leo Mbezi (+video)

D8bc9eed Aa43 4905 83ed 34052ab99552 660x400.jpeg "Na wewe badilika uwe mkali" Rais Magufuli leo Mbezi (+video)

Thu, 8 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, abadilike na kuachana na upole badala yake awe mkali kwa lengo la kuhakikisha miradi ya jiji hilo inaenda vizuri.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, abadilike na kuachana na upole badala yake awe mkali kwa lengo la kuhakikisha miradi ya jiji hilo inaenda vizuri. “Wahandisi wa mikoa na wilaya hamieni hapa msimamie huu mradi  kwa hiyo uongozi wa mkoa, ninajua mkuu wa mkoa wewe ni mgeni hapa lakini badilika uwe mkali usiwe sheikh au Askofu, ni lazima watu watimize wajibu wao, muondoa ‘damage’ ambayo iko kwenye mkataba” Rais Magufuli

Chanzo: millardayo.com