Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NHC Mara yashukuru wapangaji

B7fcd920b02673bca34a823816c0b4e9.jpeg NHC Mara yashukuru wapangaji

Sun, 4 Jul 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

MENEJA wa Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) Mkoa wa Mara, Eliaisa Keenja amepongeza wapangaji wa majengo mkoani humo kwa jinsi wanavyolipa kodi za pango vizuri.

Keenja amesema tofauti na hali ilivyo kwingine, mkoani Mara wapangaji wengi wanalipa kodi kwa wakati na ambao wanashindwa kufanya hivyo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao wamekuwa wakipeleka taarifa kwa maandishi.

Kwa mujibu wa Keenja, wapangaji ambao hawatimizi wajibu wao huo ni wachache sana.

Chanzo: www.habarileo.co.tz