Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee wa Kisarawe gumzo amwambia DC Nikk wa Pili "Ukizingua na sisi tunakuzingua"

Video Archive
Fri, 25 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Ikiwa leo ni June24, 2021 yamefanyika makabidhiano ya ofisi ambapo DC Jokate Mwegelo alifika wilayani Kisarawe kwaajili ya kumkabidhi rasmi DC Nickson Simon a.k.a Nikk wa Pili ofisi ili aanze kuwatumia wananchi wa wilaya hiyo. Hapo awali wilaya hiyo ilikuwa chini ya Jokate Mwegelo ambapo kwasasa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Ikiwa leo ni June24, 2021 yamefanyika makabidhiano ya ofisi ambapo DC Jokate Mwegelo alifika wilayani Kisarawe kwaajili ya kumkabidhi rasmi DC Nickson Simon a.k.a Nikk wa Pili ofisi ili aanze kuwatumia wananchi wa wilaya hiyo. Hapo awali wilaya hiyo ilikuwa chini ya Jokate Mwegelo ambapo kwasasa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Sasa miongoni yaliyoleta gumzo ni baada ya Mzee wa SasaKisarawe kupewa kipaza sauti na kuzungumza unaweza ukabonyeza play kumtazama

Chanzo: millardayo.com