Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee aomba asichapwe viboko 10 hadharani "nina mke na watoto" (+video)

Screenshot 2020 12 17 At 18.10.44 660x400.png Mzee aomba asichapwe viboko 10 hadharani "nina mke na watoto" (+video)

Fri, 18 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwanaume mmoja anayetambulika kwa jina la Kisika Matamwe (48) Mkazi Kijiji cha Busegwe Wilayani Butiama katika Mkoa wa Mara ameomba msamaha wa kufutiwa adhabu yake ya kuchapwa viboko 10 na kulipa fedha kiasi cha shilingi 50,000/- kwa kigezo cha umri mkubwa alionao pia ni Mume wa wake wawili, baada ya kupatikana na tuhuma za kugomesha shughuli za yowe.

Chanzo: millardayo.com