Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee abuni umeme wake "haukatiki, sijasoma, nilitengeneza helikopta Wazungu wakachukua" (+video)

Bbd35785 6ecd 4bb8 86ff 099abcd5c95b 660x400.jpeg Mzee abuni umeme wake "haukatiki, sijasoma, nilitengeneza helikopta Wazungu wakachukua" (+video)

Tue, 16 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutana na Rojas Mathayo Msuya mkazi wa Kawe Dar es Salaam ambaye amebuni mtambo wa kuzalisha umeme unaotumia nguvu ya sumaku na good news ni kwamba mtambo huo wa umeme ukishafungiwa kwenye nyumba yako haulipiwi tena baada ya kutoa gharama za kutengenezewa.

Rojas anatumbia “Taaluma hii sijasomea nimejifunza mimi mwenyewe kupitia kwa baba yangu, zaidi ya robo tatu ya umri wangu nimetumia kujaribu kuunda vitu vingi, mimi ndie mtu pekee nilieunda Helikopta iliyotumia sumaka hapa nchini na ikaruka”

“Mtambo huu wa kufua umeme hapa ulipo unaweza kufanyakazi, Mainjinia wa TANESCO walikuja wakapima na wakaona upo sawa kabisa kwa matumizi wa nyumbani, na Naibu Waziri alikuja tarehe 25 January kuangalia” Rojas

Chanzo: millardayo.com