Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwili wafukuliwa kaburini wakatwa sehemu za siri, kichwa, DC afika eneo la tukio (+video)

Screenshot 2021 05 25 At 10.19.41 660x400.png Mwili wafukuliwa kaburini wakatwa sehemu za siri, kichwa, DC afika eneo la tukio (+video)

Tue, 25 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Hali ya sintofahamu imezuka kwa wakazi wa kijiji Cha Nguyami Kata ya Idibo wilaya ya Gairo mkoa wa Morogoro baada ya kaburi la mwili wa marehemu Rehema Michael (35) kukutwa umefukiliwa na kukatawa baadhi ya viungo vya mwili huo ikiwemo kichwa, sehemu za Siri na moyo.

Hali ya sintofahamu imezuka kwa wakazi wa kijiji Cha Nguyami Kata ya Idibo wilaya ya Gairo mkoa wa Morogoro baada ya kaburi la mwili wa marehemu Rehema Michael (35) kukutwa umefukiliwa na kukatawa baadhi ya viungo vya mwili huo ikiwemo kichwa, sehemu za Siri na moyo. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Gairo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya, Siriel Nchembe amesema marehemu huyo alifariki baada ya kugongwa na gari na amezikwa mei 23 mwaka huu Katika kijiji hicho na muda mchache badae watu wasiojulikana walifika Katika kaburi hilo na kufukua Kisha kuondoa baadhi ya viongo vya mwili.

Chanzo: millardayo.com