Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwili wa Mngereza wafika nyumbani kwao Same (+picha)

Mtanzanianews 133927337 400601211159776 3267467774569843936 N 660x400 Mwili wa Mngereza wafika nyumbani kwao Same (+picha)

Tue, 5 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngeraza umewasili nyumbani kwao Kilimanjaro, Wilaya ya Same kijiji cha Suji Misheni tayari kwa mazishi.

Mwili huo umeambatana na waombolezaji ambao ni familia, wafanyakazi wa BASATA, wasanii na wadau wa sanaa.

Ibada ya mazishi inatarajiwa kufanyika leo Desemba 30, katika uwanja wa shule ya Sekondari Suji, ambapo maziko yatafanyika katika makaburi ya familia.

Marehemu Mngereza alizaliwa mwaka 1969 akiwa mtoto wa 11 kati ya 13 wa familia ya Mzee Lubejo Mngereza, ameacha mke na watoto wa tatu.

HOTEL YA SUGU KUBOMOLEWA, RAIS MAGUFULI AZUIA “MSIBOMOE HOTEL SUGU, MSILETE SIASA”

Chanzo: millardayo.com