Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanaume azua taharuki kwa kuganda barabarani Manyara

Mwanaume Atua Taharuki Kwa Kuganda Barabarani Manyara Mwanaume azua taharuki kwa kuganda barabarani Manyara

Fri, 26 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Timotheo, mkazi wa Babati, Mkoani Manyara leo amezua taharuki mapema leo baada ya kuonekana akiwa ameganda katikati ya barabara akiwa na mwamvuli huku akiongea mwenyewe.

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Timotheo, mkazi wa Babati, Mkoani Manyara leo amezua taharuki mapema leo baada ya kuonekana akiwa ameganda katikati ya barabara akiwa na mwamvuli huku akiongea mwenyewe. Kwa mujibu wa mashuhuda, Timotheo ambaye ni mtayarishaji wa nyimbo za Dini kwenye maneno anayoongea amekuwa akitaja jina la mwanamke Mariam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live