Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanaume ajikata Uume akimbilia Kituo cha Polisi

Alikataa Es Mwanaume ajikata Uume akimbilia Kituo cha Polisi

Sat, 8 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 Simon John (30), Mkazi wa Mtaa wa Msonobarini chini, Kata ya Msinjahili Manispaa na Mkoa wa Lindi anadaiwa kujikata uume wake na kisha kukimbilia katika Kituo cha Polisi.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 Simon John (30), Mkazi wa Mtaa wa Msonobarini chini, Kata ya Msinjahili Manispaa na Mkoa wa Lindi anadaiwa kujikata uume wake na kisha kukimbilia katika Kituo cha Polisi. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema Mwanaume huyo ambaye ni Mfanyabiashara alifika nyumbani kwake asubuhi majira ya saa 4 asubuhi akitokea kwenye shughuli zake na baada ya kuingia ndani kwake walimuona akitoka nie akiwa mtupu na anachuruzika damu sehemu za siri na kuelekea maeneo ya Baharini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live