Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanasheria wa Halmshauri afariki ajalini

Ajali Mwanasheria (600 X 309) Mwanasheria wa Halmshauri afariki ajalini

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Stellah Makali amefariki dunia baada ya gari aliyokuwa akisafiria kugongana na lori.

Ajali hiyo imetokea jana Novemba 02, 2023 katika eneo la Ihemi kata ya Mgama mkoani Iringa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema ajali hiyo imehusisaha gari dogo aina ya Noah na lori la mizigo.

Bukumbi amesema lori hilo lilihama njia kisha kugongangana na Noah uso kwa uso na kusababisha kifo cha Stellah aliyefariki papo hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live