Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwalimu 'amuoa' mwanafunzi kinyemela, amkatiza masomo

Mkungwa Girls Mwalimu 'amuoa' mwanafunzi kinyemela, amkatiza masomo

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mkugwa Girls High School iliyopo Wilayani Kibondo mkoani Kigoma, Mwal. Peter Mandaru Mahela amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani kwa tuhuma za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wa shule hiyo nyumbani kwake na kusababisha baadhi yao kukatiza masomo.

Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mkugwa Girls High School iliyopo Wilayani Kibondo mkoani Kigoma, Mwal. Peter Mandaru Mahela amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani kwa tuhuma za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wa shule hiyo nyumbani kwake na kusababisha baadhi yao kukatiza masomo. Mkuu wa shule ya Mkugwa Girls High School Mwalimu Mather Kajoro amesema kamati ya shule imeshakaa na mwalimu huyo bila mafanikio, wakati Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo Rutema Mugishagwe amesema mtuhumiwa kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa Jeshi la Polisi kwa hatua za kisheria zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live