Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mvua yaleta maafa Lindi

F C 3Q4W0AAkIsD.jpeg Mvua yaleta maafa Lindi

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zaidi ya wakazi 100 wa Kijiji cha Nangolola Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wamekosa makazi kufuatia nyumba zao zaidi ya 22 kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua usiku wa kuamkia leo.

Zaidi ya wakazi 100 wa Kijiji cha Nangolola Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wamekosa makazi kufuatia nyumba zao zaidi ya 22 kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Mohammed Moyo imesema hakuna mtu aliejeruhiwa wala kufa huku kamati ya maafa ikiendelea na tathimini kwa ajili ya kutoa msaada wa kibinadamu ikiwemo chakula

Chanzo: www.tanzaniaweb.live