Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mvua yabomoa nyumba na Madarasa

IMG 20220120 WA0072 Mvua yabomoa nyumba na Madarasa

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mvua kubwa iliyoambatana na upepo, imebomoa nyumba 17 huku nyingine 61 zikiezuliwa mapaa katika Kijiji cha Lyasembe, Kata ya Murangi, jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara.

Mvua kubwa iliyoambatana na upepo, imebomoa nyumba 17 huku nyingine 61 zikiezuliwa mapaa katika Kijiji cha Lyasembe, Kata ya Murangi, jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara. Tukio hilo lilitokea Machi 5 mwaka huu, huku watu 685 wakiathirika wakiwamo watoto 384 na watu wazima 301, lakini pia vyumba viwili vya madarasa ya Shule ya Msingi Lyaembe vikibomoka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live