Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mvua kubwa yasababisha maafa Bukoba

Mvua Bukobas Mvua kubwa yasababisha maafa Bukoba

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wananchi wa Manispaa ya Bukoba maeneo ya National Housing cooperation (NHC) kashai karibu na kiwanda Asilia Cha maji wapo hatarini kupoteza makazi yao kufuatia mvua kubwa zilizo ambatana na upepo mkali, Hali iliyosababisha nyumba zao kuezuliwa paa na maji kuingia ndani.

Wananchi wa Manispaa ya Bukoba maeneo ya National Housing cooperation (NHC) kashai karibu na kiwanda Asilia Cha maji wapo hatarini kupoteza makazi yao kufuatia mvua kubwa zilizo ambatana na upepo mkali, Hali iliyosababisha nyumba zao kuezuliwa paa na maji kuingia ndani. Nao baadhii ya Wananchi katika maeno hayo wamesema mvua hizo zilianza mnamo majira ya saa Moja asubuhi huku maeno yaliyo athirika zaidi yakiwa ni kashai NHC, omukishenye na Rwamishenye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live