Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mvomero yatajwa kuwa Kituo cha Elimu nchini

Prof Mkenda Till Mvomero yatajwa kuwa Kituo cha Elimu nchini

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Tawala Wilaya ya Mvomero, Said Nguya amesema wanajivunia wilaya hiyo kuwa kitovu cha elimu nchini hivyo watu wanapaswa kufahamu mchango wao katika elimu.

Ameyasema hayo wakati akitoa salam za Serikali ya Wilaya ya Mvomero katika Convocation Chuo Kikuu Mzumbe, mbele ya Waziri wa Elimu, Prof Adolf Mkenda na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima.

Alitumia fursa hiyo kutoa msisitizo katika masuala kadhaa moja ni kupigia mstari mkubwa watu wafahamu kuwa Chuo Kikuu Mzumbe kipo Wilaya ya Mvomero na sifa zote za Chuo hicho Serikali ya Wilaya na Mkoa ina mchango wake. -

Chanzo: www.tanzaniaweb.live