Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto aliye-trend kutaja miradi ya hayati Magufuli na marais 50 aongea

MTOTO COVER MJANJA 660x400 Mtoto aliye-trend kutaja miradi ya hayati Magufuli na marais 50 aongea

Sat, 27 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Mtoto Baraka ambaye ametrend kwa kutaja marais wa nchi hamsini,miradi aliyoitekeleza hayati Dkt John Magufuli pamoja na baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano amezungumzia kifo cha hayati Dkt Magufuli nakusema ameumia sana baada yakupata taarifa ya kifo chake.

Chanzo: millardayo.com