Wed, 15 Mar 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa mkazi wa Magomeni mtaa wa Mpakani kata ya Ndugumbi anadaiwa kulawitiwa mara sita huku ikielezwa kuwa mtuhumiwa anayedaiwa kufanya kitendo hicho anaonekana mtaani bila kuchukuliwa hatua za kisheria
Akizungumza nasi, mama mzazi wa mtoto huyo jina linahifadhiwa amethibitisha kulawitiwa kwa mtoto wake mara baada ya kupeleka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwananyamala na kufanyiwa vipimo
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mpakani kata ya Ndugumbi Musa Mwingwa amesema kwamba mtuhumiwa amekuwa akifanya matukio hayo mara kwa mara na kutoweka
Chanzo: www.tanzaniaweb.live