Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mradi wa Maji Mwanga-Same-Korogwe kukamilika Julai 2022 (+picha)

WhatsApp Image 2021 05 29 At 19.49.12 660x400.jpeg Mradi wa Maji Mwanga-Same-Korogwe kukamilika Julai 2022 (+picha)

Sat, 29 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekagua mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe ambao DAWASA imepewa jukumu ka kulaza mabomba ya usambazaji.

Bodi imeeleza kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi huo utakaohudumia wananchi wapatao 438,931 katika Wilaya za Same, Mwanga na Korogwe.

Chanzo: millardayo.com