Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moto wateketeza bar Ubungo

Moto Ghalaaa Ghalaaa.jpeg Moto wateketeza bar Ubungo

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana umeteketeza Bar ya A Square iliyopo Ubungo Kibangu Jijini Dar es salaam usiku huu na kusababisha hasara kwa Wamiliki wa Bar hiyo.

Mashuhuda na mmiliki wa Bar hiyo wamesema hawajui chanzo cha moto huo kwasababu hakukuwa na ishara yoyote na shughuli zilikuwa zikiendelea kama kawaida.

“Kilichotushangaza moto umeanzia juu ya paa tena tumefanya kuambiwa maana hapa shughuli zilikuwa zikiendelea kama kawaida, tukasikia kelele kwamba moto unawaka juu na kwa vile Bar imeezekwa kwa makuti ikawa rahisi kushika moto kwa haraka”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live