Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mmomonyoko wa udongo watishia usalama treni Gerezani-Ubungo

Pic Safari Mmomonyoko wa udongo watishia usalama treni Gerezani-Ubungo

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: Mwananchi

Mmomonyoko wa udongo unaoendelea katika Mto Tenge ambao unakatisha nyuma ya viwanda vilivyopo eneo la Tabata Mwananchi umewatia hofu wananchi wanaotumia usafiri wa treni inayoelekea Ubungo Maziwa kutoka Gerezani.

Wasiwasi huo umekuja baada ya kuchimbika baadhi ya maeneo na kuikaribia reli hali ambayo imesababisha kuwekwa kwa vifusi vya udongo, huku wananchi wakitumia maeneo hayo kutupa takataka.

Hali hiyo imesababishwa na mvua za El-Nino zilizonyesha mfululizo tangu Octoba 2023 hadi Aprili 2024.

Chanzo: Mwananchi