Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mmiliki wa mabasi ya Sumry Afariki

SUMRY Humud Sumry

Mon, 9 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mmoja wa wamiliki wa Mabasi ya Sumry, Humud Sumry amefariki Dunia Agosti 9, Jijini Dar es Salaam

Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajia kuzikwa leo jijini Dar.

Sumry, alikuwa anamiliki mabsi 81 na aliacha biashara hiyo kwa kile alichodai kuwa haikuwa na faida kutokana na utumishi mbovu wa wasimamizi waliokuwa wakisimamia magari hivyo kupelekea kuhamia kwenye kilimo mkoani Rukwa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live