Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlima Kiwetele waporomoka Mbeya

Kiwetele WA0015 Mlima Kiwetele waporomoka Mbeya

Sun, 14 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Mbeya zimesabisha nyumba zaidi ya 20 kuzama katika eneo la Gombe kaskazini kata ya Itezi pamoja na shule ya mchepuo ya kiingereza ya Generetion kutokana na tope lilitokana na mmomonyoka katika milima Kawetele.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live