Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkiniua atateuliwa mwingine, hamponi kwa kuua watu” Waziri Mpina (+video)

Mkiniua atateuliwa mwingine, hamponi kwa kuua watu” Waziri Mpina (+video)

Fri, 26 Jul 2019 Chanzo: --

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amesema hatua za kisheria zitachukuliwa kwa Wavuvi waliomuua Ibrahim Juma, wananchi watatu na aliyekuwa Afisa Mfawidhi wa Usimamizi wa Raslimali za Uvuvi Wilayani Ukerewe akiwa katika majukumu yake ya kikazi Kisiwani hapo July 22 baada ya kukataa kukaguliwa dhana zao za kivuvi Kisiwani Siza.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amesema hatua za kisheria zitachukuliwa kwa Wavuvi waliomuua Ibrahim Juma, wananchi watatu na aliyekuwa Afisa Mfawidhi wa Usimamizi wa Raslimali za Uvuvi Wilayani Ukerewe akiwa katika majukumu yake ya kikazi Kisiwani hapo July 22 baada ya kukataa kukaguliwa dhana zao za kivuvi Kisiwani Siza. Waziri Mpina amesema mauaji hayo hayawezi kuzuia kupambana na uvuvi haramu “Hamuwezi kushindana na Serikali na hapa natangaza vita ya uvuvi haramu inaanzua hapa”

Chanzo: --