Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mjumbe akimbia na Tsh milioni 10 za wanachama

Wanachama Msg Mjumbe akimbia na Tsh milioni 10 za wanachama

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakulima na wanachama zaidi ya 2000 wa Chama cha Ushirika cha Msingi RUMAKO ambao wanajihusisha na kilimo cha kahawa wilayani Kigoma mkoani Kigoma, wameazimia kwa pamoja na viongozi wao kumsaka na kumkamata mjumbe wa chama hicho Stephano Buha, ambaye aliuza kahawa yenye thamani ya shilingi milioni kumi na kukimbia na fedha hizo kusikojulikana.

Wakulima na wanachama zaidi ya 2000 wa Chama cha Ushirika cha Msingi RUMAKO ambao wanajihusisha na kilimo cha kahawa wilayani Kigoma mkoani Kigoma, wameazimia kwa pamoja na viongozi wao kumsaka na kumkamata mjumbe wa chama hicho Stephano Buha, ambaye aliuza kahawa yenye thamani ya shilingi milioni kumi na kukimbia na fedha hizo kusikojulikana. Wajumbe hao wakiwa katika mkutano wa bodi ya chama cha RUMAKO kwa msimu wa mwaka 2023 -2024, wamewataka viongozi wasiowaadalifu kuwajibishwa mara moja ili kuhakikisha maendeleo ya mkulima.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live