Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mikusanyiko Yapigwa Marufuku Mwanza

Polis?fit=1100%2C728&ssl=1 Mikusanyiko Yapigwa Marufuku Mwanza

Tue, 20 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada za kudhibiti  Ugonjwa wa Covid 19.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada za kudhibiti  Ugonjwa wa Covid 19. RC Gabriel amesema mikusanyiko itakayoruhusiwa ni misiba na ibada na kuongeza kuwa hakuna kusanyiko lolote litakaloruhusiwa bila kuwa na kibali mkoani Mwanza.

Chanzo: globalpublishers.co.tz