Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miaka miwili ya U-DC, kuishi na nyoka, maendeleo ya Kwimba (+video)

WhatsApp Image 2021 01 28 At 12.18.40 660x400.jpeg Miaka miwili ya U-DC, kuishi na nyoka, maendeleo ya Kwimba (+video)

Fri, 29 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Kwimba ni moja ya wilaya zilizopo mkoani Mwanza na kama ulifika Kwimba mwaka mmoja umepita tambua sio ile ulioiacha kuna mengi mazuri yamefanyika ya kimaendeleo, Ayo TV imefika ofisi ya Mkuu wa wilaya Bi. Senyi Ngaga kuyajua yote hayo.

Kwimba ni moja ya wilaya zilizopo mkoani Mwanza na kama ulifika Kwimba mwaka mmoja umepita tambua sio ile ulioiacha kuna mengi mazuri yamefanyika ya kimaendeleo, Ayo TV imefika ofisi ya Mkuu wa wilaya Bi. Senyi Ngaga kuyajua yote hayo. “Tuna mengi mazuri yamefanyika awamu ya tano tunamshukuru Mh. Rais na serikali yake mwanzo nyumba ya Mkuu wa wilaya nilikuwa naishi na nyoka ila sasa aah burudani” DC KWIMBA

Chanzo: millardayo.com