Sat, 9 Jan 2021
Chanzo: millardayo.com
Antony Petro ni mtoto ambaye ali-trend kwenye mitandao ya kijamii miaka kadhaa iliyopita mkoani Kagera baada yakumshataki baba yake polisi alipokuwa anataka kuuza shamba la familia lakini baada ya hapo kutokana na uwezo wake kuna mfadhili alijitokeza nakuamua kumsomesha bure ambapo mwaka huu 2021 anaingia darasa la nne.
Antony kwenye exclusive interview na Ayo tv na millardayo.com amesema kwa sasa amefahamu vitu vingi ikiwemo kuzungumza kiingereza na anatamani baadaye awe mwalimu.
KIJANA WA KITANZANIA ALIETAJIRIKA KUPITIA MBWA “NINA MBWA WA MILLION 100”
Chanzo: millardayo.com