Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mh. Saed Kubenea amvaa RC Makonda ‘Litakalotokea wasituulize’ (+Video)

Fri, 2 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mbunge wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Meneja kampeni wa CHADEMA katika jimbo la Kinondoni, Saed Kubenea amesema kuwa wamepata taarifa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ,Ally Hapi wamekua wakikaa vikao vya siri na mkurugenzi.

Chanzo: bongo5.com